Reni
Kutoka Wikipedia
Reni (Rhenium) |
|
---|---|
|
|
Jina la Elementi | Reni (Rhenium) |
Alama | Re |
Namba atomia | 75 |
Mfululizo safu | Metali ya mpito |
Uzani atomia | 98 |
Valensi | 2, 8, 18, 32, 13, 2 |
Densiti | 21.02 |
Kiwango cha kuyeyuka | 3459 K (3186 °C) |
Kiwango cha kuchemka | 5869 K (5596 °C) |
Asilimia za ganda la dunia | 1 · 10-7 % |
Hali maada | mango |
Mengineyo |
Reni (kutoka jina la Kilatini "Rhenus" la mto Rhine) ni metali nzito na haba sana. Kikemia ni elementi ya mpito yenye kifupi cha Re na namba atomia 75 katika mfumo radidia.
[hariri] Tabia
Reni ni metali ngumu na nzito. Hutokea katika mitapo ya molibdeni. Baada ya kuisafisha rangi yake ni kifedha-nyeupe. Kati ya elementi zote zisizo nururifu ni elementi haba sana.
[hariri] Matumizi
Kutokana na uhaba hakuna matumizi mengi. Inachanganywa hasa ndani ya aloi mbalimbali hasa na nikeli inapoongeza uimara kwa mfano ndani ya injini za ndege.
Makala hiyo kuhusu "Reni" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Reni kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |