Nikolay Semyonov
Kutoka Wikipedia
Nikolay Nikolayevich Semyonov (15 Aprili, 1896 – 25 Septemba, 1986) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Urusi. Hasa alichunguza nishati mwendo. Mwaka wa 1956, pamoja na Cyril Hinshelwood alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.