Michael Bay
Kutoka Wikipedia
Michael Bay |
|
---|---|
|
|
Jina la kuzaliwa | Michael Benjamin Bay |
Alizaliwa | 17 Februari, 1965 Los Angeles, California, Marekani |
Kazi yake | Mwongozaji Mtayarishaji |
Michael Benjamin Bay (amezaliwa tar. 17 Februari, 1965) ni mwongozaji na mtayarishaji filamu wa Kimarekani. Bay amejibebea heshima-sifa na mafanikio makubwa baada ya kuongoza filamu kama vile Transformers, Armageddon, The Rock, Pearl Harbor, Bad Boys, na Bad Boys II. Bay pia ni mmoja wa wanachama wa kampuni ya utayarishaji na upigaji video za muziki ijulikanyo kwa jina la Propaganda Films.
Yaliyomo |
[hariri] Filamu za Michael Bay
[hariri] Kama mwongozaji
- Bad Boys (1995)
- The Rock (1996)
- Armageddon (1998)
- Pearl Harbor (2001)
- Bad Boys II (2003)
- The Island (2005)
- Transformers (2007)
- Transformers 2 (2009)
- 2012: The War for Souls (2010)
[hariri] Video za muziki
- There You'll Be", Faith Hill (2001)
- "Falling in Love (Is Hard on the Knees)", Aerosmith (1997)
- "Objects in the Rear View Mirror May Appear Closer Than They Are", Meat Loaf (1994)
- "Rock 'n' Roll Dreams Come True", Meat Loaf (1994)
- "I'd Do Anything for Love (but I Won't Do That)", Meat Loaf (1993)
- "You Won't See Me Cry", Wilson Phillips (1992)
- "Do It to Me", Lionel Richie (1992)
- "Love Thing", Tina Turner (1992)
- "I Touch Myself", Divinyls (1991)
[hariri] Kama mtayarishaji
- The Texas Chainsaw Massacre (2003)
- The Amityville Horror (2005)
- The Texas Chainsaw Massacre: The Beginning (2006)
- The Hitcher (2007)
- The Horsemen (2008)
- Unborn (2009)
- Friday The 13th (2009)
- The Birds (2009)
- A Nightmare On Elm Street (2010)
[hariri] Viungo vya nje
- Official website and Blog
- Michael Bay katika Internet Movie Database
- Michael Bay katika All Movie Guide
- Michael Bay Videography, Michael Bay's music video filmography at The Music Video Database.
- Transformers Movie - Interview With Michael Bay
- Michael Bay is a huge Transformer fan
- Fast Cars, Hot Blondes, Big Budgets, Bigger Explosions, a June 2001 Rolling Stone article
- Appreciation of Bay's over-the-top "The Island"
- Article confirming relationship between Michael Bay and Jaime Bergman
- Wydncrest Holdings
- Criterion Collection essay on Michael Bay and "Armageddon"