Maputo
Kutoka Wikipedia
Maputo ni mji mkuu wa Msumbiji. Hadi 1976 ilijulikana kwa jina la Kireno la Lourenço-Marquès. Serikali mpya ya Msumbiji huru chini ya rais Samora Machel iliipa jina jipya la Maputo.
Mji una wakazi 1,200,000 (pamoja na mitaa ya nje: 1,800,000). Uchumi wake unategemea sana bandari yake kwenye hori ya Maputo ya Bahari Hindi.
Mito miwili inaishia kwenye hori ni Tembe na Maputo.
[hariri] Viungo vya nje
Makala hiyo kuhusu "Maputo" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Maputo kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |