Lima
Kutoka Wikipedia
|
|
---|---|
' |
|
|
|
Utawala | Mkoa wa Lima |
Historia | iliundwa 18 Januari 1535 |
Anwani ya kijiografia | Latitudo: 12°2′0"S Longitudo: 77°1′0"W |
Kimo | 110 m juu ya UB |
Eneo | 2.664,67 km² (mji) |
Wakazi | - mji: 7.584.000 |
Msongamano wa watu | watu 8.544 kwa km² |
Simu | +51 (nchi) 01 (mji) |
Mahali | |
Lima ni mji mkuu na kitovu cha uchumi wa Peru.
Mji uliundwa tar. 18 Januari 1535 na Francisco Pizarro kwa jina la "Ciudad de reyes" (mji wa wafalme). Leo hii una wakazi zaidi ya milioni sita.
[hariri] Gallery
Makala hiyo kuhusu "Lima" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Lima kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |