Jumba la Sanaa la Sydney
Kutoka Wikipedia
Jumba la Sanaa la Sydney (kutoka kiing. The Sydney Opera House) ni jumba linalo patikana katika Bandari ya Sydney, katika Sydney, Australia. Jumba linaumbo kama Matanga (sails), na linapatikana mjini Sydney, Australia. Jumba hilo linatumiwa kwa matasha na sherehe mbalimbali za kimataifa huwa zinafanyiwa hapo. Jumba hilo ni maarufu sana kwakuwa kuvutio kikubwa kwa watalii walio wengi. Jumba lilijengwa mwaka 1817 na ilipofika mwaka 1901 likafungwa. Likaja kufunguliwa tena mnamo tar. 10 ya mwezi Agosti ya mwaka wa 1902. Mnamo mwaka wa 1958 jengo likafungwa tena kwa ajili ya kufanya matengenezo mawili matatu, kisha likaja kufunguliwa tena mnamo mwaka wa 1959.