Sydney
Kutoka Wikipedia
.
Sydney ni mji wa pwani ya mashariki katika nchi ya Australia. Sydney ni mji mkubwa wa New South Wales. Takribani watu milioni 4 wanaishi katika mji wa Sydney na ndio mji mkubwa kabisa nchini Australia. Mji uligunduliwa mwaka 1788 na Arthur Phillip, aliyekuwa ofisa wa Navy Royal ya Uingereza, na mji ukawa kama sehemu ya wafungwa wa Kiingereza na Kiayalendi. The Rocks, ni sehemu mojawapo katika mji wa Sydney, ndio ilikuwa sehemu ya kwanza kuwa mji wenye mvuto katika Australia. Sasa imekuwa sehemu yenye mandhari mazuri ya bandari na ni sehemu pakujipatia kula yaani kuna mgahawa mkubwa.
[hariri] Viungo vya nje
Jua habari zaidi kuhusu Sydney kwa kutafuta kupitia mradi wa Wikipedia Sister | |
---|---|
Uchambuzi wa kamusi kutoka Wikamusi | |
Vitabu kutoka Wikitabu | |
Quotations kutoka Wikidondoa | |
Source texts kutoka Wikichanzo | |
Images and media kutoka Commons | |
News stories kutoka Wikihabari | |
Learning resources kutoka Wikichuo |
- Max Dupain's photographic collection Sydney Nostalgia 1937-1980, National Library of Australian, Canberra
- Australian Museum: Aboriginal people of coastal Sydney
- Sydney Metropolitan Strategy
- Sydney Weather: Current temperatures and Forecast (NSW Government)
- Sydney Weather Forecast (Bureau of Met)
- {{{2}}} travel guide kutoka Wikisafiri
- Historic photographs of Sydney buildings
- Sydney Exposed - Photographic collection from the State Library of NSW
- Online Street Directory
- Map of the Environs of Sydney, 1833