Jibuti
Kutoka Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: Jibuti tumeichagua | |||||
Wimbo wa taifa: {{{national_anthem}}} | |||||
Mji mkuu | Jibuti |
||||
Mji mkubwa nchini | Jibuti | ||||
Lugha rasmi | Kiarabu na Kifaransa | ||||
Serikali
Rais
|
Jamhuri Ismail Omar Guelleh |
||||
Uhuru Tarehe |
27 Juni 1977 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
23,000 km² (ya 147) 0.09% (20 km² / 7.7 mi²) |
||||
Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - 2000 sensa - Msongamano wa watu |
793,000 (ya 160) 460,700 21/km² (ya 154) |
||||
Fedha | Franc (DJF ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+3) +3 (UTC) |
||||
Intaneti TLD | .dj | ||||
Kodi ya simu | +253 |
Jibuti (pia: Djibouti, Kiarabu: جيبوتي) ni nchi ndogo ya Afrika ya Mashariki kwenye Pembe la Afrika. Imepakana na Eritrea, Ethiopia na Somalia barani. Kuna pwani la Bahari ya Shamu na Ghuba ya Aden.
Nchi ilikuwa koloni ya Somalia ya Kifaransa. Sababu ya kuanzishwa kwa koloni ilikuwa nia ya Ufaransa ya kuwa na bandari ya mji wa Jibuti karibu na Bab el Mandeb inayotawala mawasiliano kati ya Bahari Hindi na Bahari ya Shamu kuelekea Mfereji wa Suez.
Ng'ambo ya bahari iko nchi ya Yemen kwa umbali wa 20 km pekee.