Gordian I
Kutoka Wikipedia
Marcus Antonius Gordianus Sempronianus Romanus Africanus au Gordian I (takriban 159 – 12 Aprili, 238) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma, pamoja na mwana wake Gordian II, kuanzia 22 Machi, 238 hadi kifo chake. Walimfuata Maximinus Thrax ambaye waliasi dhidi yake.