Dushanbe
Kutoka Wikipedia
Dushanbe (Kitajiki: Душанбе, دوشنبه) ni mji mkuu wa Tajikistan ikiwa na wakazi 562,000.
Jina limetokana na neno la Kiajemi kwa "Jumatatu" (du "mbili" + shanbe "siku" yaani "siku ya pili") kwa sababu mji ulianzishwa kama mahali pa soko kwenye siku ya Jumatatu.
Makala hiyo kuhusu "Dushanbe" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Dushanbe kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |