Darmstadt
Kutoka Wikipedia
Darmstadt ni mji wa Kijerumani katika jimbo la Hesse takriban kilomita 30 kusini ya Frankfurtni mji wenye wakazi wapatao 141,000. Mji uko baina ya Frankfurt am Main na Heidelberg.
Elementi ya Darmstati iligunduliwa mjini hapa mwaka 1994.