1763
Kutoka Wikipedia
[hariri] Matukio
- 10 Februari - Ufaransa na Uingereza wapatana mjini Paris kumaliza Vita ya Miaka Saba kati yao; Ufaransa wakubali kuwaachia Waingereza koloni yake ya Kanada
- 15 Februari - Prussia na Austria pamoja na nchi zilizoshikamana nao wapatana pia kumaliza Vita ya Miaka Saba