Paraguay
Kutoka Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: Kihispania: Paz y justicia ("Amani na Haki") |
|||||
Wimbo wa taifa: Paraguayos, República o Muerte ("Waparaguay, jamuri au mauti") |
|||||
Mji mkuu | Asuncion |
||||
Mji mkubwa nchini | Asunción | ||||
Lugha rasmi | Kihispania, Kiguaraní | ||||
Serikali
Rais
|
Jamhuri Nicanor Duarte Frutos |
||||
Uhuru imetangazwa |
14 Mei 1811 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
406,752 km² (ya 59) 2.3% |
||||
Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - Msongamano wa watu |
6,158,000 (ya 101) 15/km² (ya 192) |
||||
Fedha | Guarani (PYG ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-4) (UTC-3) |
||||
Intaneti TLD | .py | ||||
Kodi ya simu | +595 |
Paraguay (pia: Paragwai) ni nchi ya Amerika Kusini isiyo na pwani la bahari. Imepakana na Argentina, Brazil na Bolivia. Jina la 'Paraguay' limetokana na lugha ya Kiguarani lamaanisha 'kutoka mto mkubwa'. Mto huu mkubwa ni Parana.
Mji mkuu ni Asuncion iliyoundwa mwaka 1537 na Mhispania Juan de Salazar. Paraguay ikuwa koloni ya Hispania ikapata uhuru wake mwaka 1811.
Makala hiyo kuhusu "Paraguay" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Paraguay kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |