Wamambwe
Kutoka Wikipedia
Wamambwe ni kabila la Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Rukwa, Wilaya ya Sumbawanga. Lugha yao ni Kimambwe. Wamambwe na Warungu wanaongea lugha moja yenye lahaja mbili.
Makala hiyo kuhusu "Wamambwe" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Wamambwe kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |