Skandi
Kutoka Wikipedia
Skandi |
|
---|---|
|
|
Jina la Elementi | Skandi |
Alama | Sc |
Namba atomia | 21 |
Mfululizo safu | Metali |
Uzani atomia | 44.9559 |
Valensi | 2, 8, 9, 2 |
Kiwango cha kuyeyuka | 1814 K (1541 °C) |
Kiwango cha kuchemka | 3109 K (2836 °C) |
Asilimia za ganda la dunia | 5 · 10-4 % |
Hali maada | mango |
Skandi ni elementi na metali yenye namba atomia 21 na alama Sc katika mfumo radidia wa elementi. Ni metali mpito haba yeye rangi nyeupe-kimajivu inayomenyuka haraka na dutu nyingine.
Kutokana na uhaba wake hakuna matumizi mengi yaliyopo ni kama kiungo katika taa za kung'arisha sana. Takriban kg 80 zatumiwa duniani kila mwaka kwa kusudi hii.
Makala hiyo kuhusu "Skandi" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Skandi kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |