Seleni
Kutoka Wikipedia
Seleni |
|
---|---|
|
|
Jina la Elementi | Seleni |
Alama | Se |
Namba atomia | 34 |
Mfululizo safu | Simetali |
Uzani atomia | 78.96 |
Kiwango cha kuyeyuka | 494 K (221 °C) |
Kiwango cha kuchemka | 957.8 K (684.6 °C) |
Asilimia za ganda la dunia | 8 · 10−5 % |
Hali maada | imara |
Seleni ni elementi simetali yenye namba atomia 34 kwenye mfumo radidia na uzani atomia 78.96. Alama yake ni Se. Kwenye hali sanifu ni imara.
Ni haba sana duniani lakini imo ndani ya seli za mada hai.
Hupatikana kwa maumbo mbalimbali yenye tabia tofauti yanayotofautiana kwa rangi.
[hariri] Tazama pia
- Mfumo radidia
- Orodha ya elementi
Makala hiyo kuhusu "Seleni" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Seleni kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |