Sardinia
Kutoka Wikipedia
Sardinia (Kiitalia: Sardegna) ni kisiwa kikubwa cha pili katika bahari ya Mediteranea chenye eneo la 24,000 km². Pamoja na visiwa vidogo vya karibu ni jimbo la kujitawala la Italia. Mji mkuu ni Cagliari. Kuna wakazi milioni 1.65.