Octavio Paz
Kutoka Wikipedia
Octavio Paz (31 Machi, 1914 – 19 Aprili, 1998) alikuwa mshairi na mwanasiasa kutoka nchi ya Mexiko. Tangu mwaka wa 1945 alifanya kazi kama balozi kwa ajili ya nchi yake. Mwaka wa 1990 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.