Mpanda
Kutoka Wikipedia
Wilaya Mpanda ni wilaya moja ya Mkoa wa Rukwa. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 412,683 [1].
Makala hiyo kuhusu "Mpanda" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Mpanda kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |