Lars Onsager
Kutoka Wikipedia
Lars Onsager (27 Novemba, 1903 – 5 Oktoba, 1976) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Norwei. Baadaye alihamia Marekani. Baadhi ya utafiti mwingine alichunguza hali za kikemia zisizowezekana kugeuzwa. Mwaka wa 1968 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.