Kisafwa
Kutoka Wikipedia
Kisafwa ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wasafwa.
[hariri] Mfumo wa Sauti (Fonolojia)
Lugha ya Kisafwa ina irabu 7 na konsonanti 36. Pia, tofauti kati ya irabu fupi na irabu ndefu huleta tofauti za maana.
[hariri] Viungo vya nje
- http://www.ethnologue.org/show_language.asp?code=sbk
- http://www.african.gu.se/tanzania/weblinks.html
- http://www.linguistics.berkeley.edu/CBOLD/Docs/TLS.html (tovuti hiyo ina msamiati wa Kisafwa)
[hariri] Marejeo
- Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
- Sambeek, Jan van. 1933. Safwa grammar. Muswada. Kurasa 183.
- Voorhoeve, Jan. 1973. Safwa as a restricted tone system. Studies in African linguistics, 4 (1), uk.1-22.
Makala hiyo kuhusu "Kisafwa" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Kisafwa kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |