Ilya Frank
Kutoka Wikipedia
Ilya Mikhaylovich Frank (23 Oktoba, 1908 – 22 Juni, 1990) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Urusi. Hasa alichunguza uhusiano kati ya elektroni na nuru. Mwaka wa 1958, pamoja na Igor Tamm na Pavel Cherenkov alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.