Gloria Macapagal Arroyo
Kutoka Wikipedia
Gloria Macapagal Arroyo (amezaliwa tar. 5 Aprili, 1947) Pia anafamika kwa jina la ufupi kama G.M.A, ni rais wa 14 wa Ufilipino, Ambaye kwa sasa ndiye anae ongoza nchi ya Ufilipino.
Ni rais wa pili wa kike kuongoza nchi ya Ufilipino baada ya Corazon Aquino. ni binti wa rais wa zamani wa Ufilipino mzee Diosdado Macapagal. Kabla ya kuwa rais, mwanzoni alikuwa makamo wa rais wa Ufilipino.