Felix Bloch
Kutoka Wikipedia
Felix Bloch (23 Oktoba, 1905 – 10 Septemba, 1983) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uswisi. Hasa alichunguza usumaku ndani ya atomu. Mwaka wa 1952, pamoja na Edward Purcell alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.