Encyclopedia Britannica
Kutoka Wikipedia
Encyclopædia Britannica ni kamusi elezo ya Kiingereza iliyoanzishwa mwaka 1768 mjini Edinburgh Uskoti. Hadi kukua kwa wikipedia ilikuwa pia kamusi elezo kubwa duniani.
Britannica imelenga kuonyesha ujuzi na elimu yote ya dunia. Imejipatia sifa ya kuwa makala zake zatoa maelezo mazuri pia ya undani. Hadi leo inatazamwa na watu wengi ni kamusi elezo bora duniani.
Toleo | Mwaka | Idadi ya vitabu ya toleo |
1. |
1768-1771 |
3 |
Toleo la 16 la 2004 lina makala 75,000 yenye maneno milioni 44. Vitabu vyake 32 zaweza kunununuliwa kwa USD 1,400 kwa umbo la karatasi. Zapatikana pia kwa bei nafuu kama CD au DVD na kusomewa kwa compyuta.