Akira Kurosawa
Kutoka Wikipedia
Akira Kurosawa (23 Machi, 1910 – 6 Septemba, 1998) alikuwa mwongozaji wa filamu wa Kijapani. Filamu nyingi za Kurosawa zilikuwa maarufu sana katika Ujapani. Na zilikuwa zikipendwa na watu wengi tu duniani.
[hariri] Viungo vya nje
- Akira Kurosawa katika Internet Movie Database