1846
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1843 1844 1845 - 1846 - 1847 1848 1849 |
[hariri] Matukio
- 16 Juni - Uchaguzi wa Papa Pius IX
[hariri] Waliozaliwa
- 5 Januari - Rudolf Christoph Eucken (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1908)
- 5 Mei - Henryk Sienkiewicz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1905)
[hariri] Waliofariki
- 21 Februari - Ninko, Mfalme Mkuu wa 120 wa Japani (1817-1846)
- 1 Juni - Papa Gregori XVI