1781
Kutoka Wikipedia
[hariri] Matukio
- 13 Machi - Sayari ya Uranus imegunduliwa na William Herschel.
- 4 Septemba - walowezi 44 waunda kijiji cha Los Angeles (jina kamili: El Pueblo de Nuestra Señora la Reina de los Ángeles de Portiuncula) ambayo leo hii ni ni mji mkubwa wa ili wa Marekani.
- 19 Oktoba - Wanajeshi wa Uingereza wajisalimisha mjini Yorktown (Virginia) baada ya kushindwa na Wamarekani wanaosaidiwa na Wafaransa katika mapigano makubwa ya mwisho wa vita ya uhuru ya Marekani.