Nyutroni
Kutoka Wikipedia
Nyutroni (pia: neutroni, kutoka kilat. "neuter" - "asiye mmoja kati ya wawili") ni chembe ndani ya atomi. Ni sehemu ya kiini cha atomi isiyo na chaji yoyote.
Masi ya nyutroni ni ndogo sana. Huaminiwa ya kwamba kila nyutroni inajengwa na quark tatu.
Makala hiyo kuhusu "Nyutroni" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Nyutroni kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |