Kiowevu
Kutoka Wikipedia
Kiowevu ni moja kati ya hali maada.
Katika hali kiowevu atomi zina nafasi ya kuachana na kubadilishana mahali. Kwa sababu hii kiowevu hakina umbo maalumu.
Masi ya kilogramu moja ya maji hukubali umbo la kila chombo kinamomwagwa: ama katika sufuria pana au bomba ndefu nyembamba. Kama maji yaleyale yameganda na kuingia katika hali mango kama barafu hauwezi kukubali umbo tofauti.
Kiowevu hukubali badiliko la umbo lakini hakibadiliki mjao na uzani.
Dutu inakaa katika hali kiowevu kama