Istanbul
Kutoka Wikipedia
Istanbul (inatajwa İstanbul kwa Kituruki) ni mji mkubwa katika Uturuki, zamani ulikuwa ndio mji mkuu wakati wa zama za dola la Ottoman hadi kufikia mnamo mwaka wa 1923. Jiji lilikuwa linajulikana tangu enzi za kale wakati mji unaitwa jina la Byzantium na Constantinople. Kuwepo kwa bandari katika mji wa Istanbul, kumepelekea mji huo kuwa kitovu cha biashara katika Uturuki. Kikawaida mji wa Istanbul upo sehemu zote mbili, bara la Asia na Ulaya. Idadi ya wakazi wa huko wapo kati ya mil. 11 na mil. 15, ambao wanaufanya mji huo kuwa miongoni mwa miji mikubwa katika Ulaya.
[hariri] Viungo vya nje
- Istanbul Governor's Office
- Istanbul Metropolitan Municipality
- WikiSatellite view of Istanbul at WikiMapia
- Emporis Buildings Database: Historic and modern buildings of Istanbul
- Ottoman architect Sinan's works in Istanbul
Makala hiyo kuhusu "Istanbul" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Istanbul kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |