Brunei
Kutoka Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: "Daima katika utumishi kwa msaada wa Mungu"Template:Nbsp(translation) | |||||
Wimbo wa taifa: Allah Peliharakan Sultan "Mungu ambariki Sultani" |
|||||
Mji mkuu | Bandar Seri Begawan |
||||
Mji mkubwa nchini | Bandar Seri Begawan | ||||
Lugha rasmi | Kimalay na Kiingereza | ||||
Serikali | Ufalme Hassanal Bolkiah |
||||
Uhuru kutoka Uingereza Mwisho wa hali ya nchi lindwa |
1 Januari 1984 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
5,765 km² (ya 170) 8.6 |
||||
Idadi ya watu - 2005 kadirio - 2001 sensa - Msongamano wa watu |
374,000 (ya 174) 332,844 65/km² (ya 127) |
||||
Fedha | Brunei ringgit (BND ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+8) (UTC) |
||||
Intaneti TLD | .bn | ||||
Kodi ya simu | +6731 |
||||
1 Also 080 from Malaysia. |
Brunei ( برني دار السلام ) ni usultani mdogo na nchi ya kujitegemea kwenye kisiwa cha Borneo ya Asia ya Kusini-Magharibi. Imepakana na majimbo ya Sarawak na Sabah ya Malaysia. na Indonesia. Jina rasmi ni "Negara Brunei Darussalaam" yaani Brunei Nyumba ya Amani. Mji mkuu ni Bandar Seri Begawan.
Mtawala wa nchi ni sultani Hassan al-Bolkiah. Anasemekana ni kati ya watu tajiri zaidi duniani kutokana na mapato ya mafuta ya petroli.
Makala hiyo kuhusu "Brunei" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Brunei kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |
Nchi na maeneo ya Asia |
Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Cyprus2 | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kuwait | Kirgizstan | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Oman | Pakistan | Palestina | Qatar | Urusi1 | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Ufilipino | Uthai | Uturuki1 | Turkmenistan | Uhindi | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani |
1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi hii iko Asia lakini kwa sababu za kihistoria au kiutamaduni inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya. 3. Eneo la pekee la China. |