China
Kutoka Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: | |||||
Wimbo wa taifa: [[Maandamano ya wale wanaojitolea - Yìyǒngjūn Jìnxíngqǔ]] | |||||
Mji mkuu | Beijing |
||||
Mji mkubwa nchini | Shanghai | ||||
Lugha rasmi | Mandarin Kichina1 (Putonghua) | ||||
Serikali
Rais
Waziri Mkuu |
Ujamaa republic2 Hu Jintao Wen Jiabao |
||||
Tarehe za kihistoria Utawala wa nasaba ya Shang Utawala wa nasaba ya Qin Jamhuri ya China Jamhuri ya Watu wa China ilitangazwa |
1766 KK 221 KK 10 Oktoba 1911 1 Oktoba 1949 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
9,596,960 km² km² (ya 33) 2.82 |
||||
Idadi ya watu - 2006 kadirio - 2000 sensa - Msongamano wa watu |
1,315,844,0004 (ya 1) 1,242,612,226 140/km² (ya 72 (2)) |
||||
Fedha | Renminbi Yuan5, 2 (CNY ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+8) not observed (UTC+8) |
||||
Intaneti TLD | .cn2 | ||||
Kodi ya simu | +862 |
||||
1 Pamoja na Kichina cha Mandarin kile cha Kikanton ni lugha rasmi katika Hong Kong na Macau. [Kiingereza]] ni pia lugha rasmi katika Hong Kong na Kireno huko Macau. Vilevile kuna lugha za kieneo yanayotumiwa rasmi kama vile Kiuyghur huko Xinjiang, Kimongolia katika jimbo la Mongolia ya Ndani, Kitibet huko Tibet na Kikorea katika mkoa wa Yanbian. |
China (pia: Uchina, Sina) au Jamhuri ya Watu wa China, ni nchi kubwa ya Asia ya Mashariki na nchi yenye watu wengi duniani.
China imepakana na Vietnam, Laos, Myanmar, India, Bhutan, Nepal, Pakistan, Afghanistan, Tajikistan, Kyrgyzstan, Kazakhstan, Urusi, Mongolia, Korea ya Kaskazini. Kuna pwani ndefu la Bahari ya Kusini ya China na Bahari ya Mashariki ya China ambazo ni bahari ya kando ya Pasifiki. Mji mkuu ni Beijing.
China kuna makabila tofauti 56. Walio wengi (92%) ni Wahan. Lugha rasmi ni Kichina cha Mandarin. Siasa inatawaliwa na chama cha kikomunisti.
Mji mkuu ni Beijing na Shanghai ni mji mkubwa. Hong Kong iliyokuwa koloni ya Uingereza na Macau iliyokuwa koloni ya Ureno ni maeneo ya China yenye utawala wa pekee.
Taiwan na visiwa vingine vya Jamhuri ya China vinatazamiwa na serikali ya Beijing kuwa majimbo chini yake lakini vimekuwa kama nchi ya pekee tangu 1949.
[hariri] Historia
Historia ya China huganwanyika katika vipindi vya nasaba za kifalme mbalimbali.
[hariri] Tazama pia
Makala hiyo kuhusu "China" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu China kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |
Nchi na maeneo ya Asia |
Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Cyprus2 | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kuwait | Kirgizstan | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Oman | Pakistan | Palestina | Qatar | Urusi1 | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Ufilipino | Uthai | Uturuki1 | Turkmenistan | Uhindi | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani |
1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi hii iko Asia lakini kwa sababu za kihistoria au kiutamaduni inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya. 3. Eneo la pekee la China. |