Balkani
Kutoka Wikipedia
Rasi ya Balkani ni jina la kihistoria kwa ajili ya sehemu ya kusini-mashariki ya Ulaya.
Jina limetokana na safu ya milima ya Balkani inayopatikana katika Bulgaria na Serbia.
[hariri] Nchi za Balkani
Hakuna mapatano kikamili ni nchi zipi zinazohesabiwa kuwa sehemu za Balkani lakini mara nyingi hitajwa zifuatazo:
- Albania
- Bosnia-Herzegovina
- Bulgaria
- Kosovo
- Montenegro
- Makedonia
- Serbia
- Ugiriki
- Uturuki (sehemu ya Kiulaya hadi Istanbul)
Mara nyingi hata nchi zifuatazo huhesabiwa humo:
[hariri] Historia
Nchi za Balkani ziko tofauti lakini zinashirikiana historia ya pekee ya pamoja:
- zote zilikuwa sehemu za Dola la Roma
- baadaye zilikuwa kwa vipindi tofauti sehemu za Dola la Uturuki
- zilikuwa eneo la mpakani kati ya
Makala hiyo kuhusu "Balkani" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Balkani kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |