1905
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1902 1903 1904 - 1905 - 1906 1907 1908 |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 1 Februari - Emilio Segre (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1959)
- 7 Februari - Ulf von Euler, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1970
- 24 Aprili – Robert Penn Warren (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1958)
- 16 Mei - Henry Fonda, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 24 Mei - Mikhail Sholokhov (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1965)
- 21 Juni - Jean-Paul Sartre (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1964)
- 25 Julai - Elias Canetti (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1981)
- 3 Septemba - Carl David Anderson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1936)
- 24 Septemba - Severo Ochoa (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1959)
- 30 Septemba - Nevill Mott (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1977)
- 23 Oktoba - Felix Bloch (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1952)
bila tarehe
- Sheikh Abeid Amani Karume, Rais wa kwanza wa Zanzibar
[hariri] Waliofariki
- 14 Juni - Tippu Tip (mfanyabiashara Mtanzania mashuhuri)
- 14 Septemba - Pierre Brazza