Washubi
Kutoka Wikipedia
Washubi ni kabila kutoka eneo la mkoa wa Kagera, nchini Tanzania. Mwaka 1987 idadi ya Washubi ilikadiriwa kuwa 153,000 [1]. Lugha yao ni Kishubi.
Makala hiyo kuhusu "Washubi" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Washubi kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |