Warungi
Kutoka Wikipedia
Warungi ni kabila kutoka eneo la pwani ya kusini-mashariki ya Ziwa Tanganyika, nchini Tanzania. Mwaka 1987 idadi ya Warungi ilikadiriwa kuwa 166,000 [1].
Makala hiyo kuhusu "Warungi" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Warungi kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |