Wakwere
Kutoka Wikipedia
Wakwere (pia wanaitwa Wanghwele) ni kabila la Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Pwani, Wilaya ya Bagamoyo. Lugha yao ni Kikwere.
Makala hiyo kuhusu "Wakwere" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Wakwere kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |