Wakami
Kutoka Wikipedia
Wakami ni kabila la Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Morogoro, kwenye wilaya za Kilosa na Morogoro Vijijini. Lugha yao ni Kikami.
Makala hiyo kuhusu "Wakami" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Wakami kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |