Waisanzu
Kutoka Wikipedia
Waisanzu ni kabila la Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Singida, Wilaya ya Iramba. Lugha yao ni Kiisanzu.
Makala hiyo kuhusu "Waisanzu" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Waisanzu kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |