Wagorowa
Kutoka Wikipedia
Wagorowa (pia huitwa Wafiome) ni kabila la Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Dodoma, Wilaya ya Kondoa, na Mkoa wa Manyara karibu na mji wa Babati. Lugha yao ni Kigorowa.
Makala hiyo kuhusu "Wagorowa" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Wagorowa kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |