Sululu
Kutoka Wikipedia
Sululu | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Sululu wa Ulaya
|
||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||
|
Sululu ni ndege wa jenasi mbalimbali katika familia ya Scolopacidae. Hata jenasi Numenius huitwa sululu, lakini jina membe linastahabiwa. Ndege hawa wana rangi zilizofifia na huonekani rahisi wotoni. Huruka tu wakati mtu anapowakaribia sana. Wana miguu mifupi na mdomo mrefu. Wapenda mahali majimaji na hula wadudu na nyungunyungu. Wakati wa majira ya kuzaa dume hufanya mkogo wa kubembeleza jike akishuka ghafla angani na kusabibisha manyoya maalum ya mkia kutoa uvumi kubwa. Hujenga tago kwa manyasi linalofichwa sana na hutaga mayai 3-4.
[hariri] Spishi za Afrika
- Lymnocryptes minimus, Sululu Mdogo (Jack Snipe)
- Gallinago gallinago, Sululu wa Ulaya Common Snipe)
- Gallinago macrodactyla, Sululu wa Madagaska Madagascar Snipe)
- Gallinago media, Sululu Mkubwa Great Snipe)
- Gallinago nigripennis, Sululu wa Afrika (African Snipe)
- Gallinago stenura, Sululu Mkia-chembe (Pintail Snipe)
[hariri] Spishi za mabara mengine
- Coenocorypha aucklandica (New Zealand Snipe)
- Coenocorypha a. aucklandica (Auckland Island Snipe)
- † Coenocorypha a. barrierensis (North Island Snipe) imekwisha sasa
- Coenocorypha a. huegeli (Snares Island Snipe)
- † Coenocorypha a. iredalei (South Island Snipe) imekwisha sasa
- Coenocorypha a. meinertzhagenae (Antipodes Island Snipe)
- † Coenocorypha chathamica Forbes' Snipe) imekwisha sasa
- † Coenocorypha miratropica Viti Levu Snipe) imekwisha sasa
- Coenocorypha pusilla (Chatham Island Snipe)
- Coenocorypha sp. Campbell Island Snipe) – spishi au spishi ndogo mpya ambaye hajafafanishwa
- † Coenocorypha sp. New Caledonia Snipe) imekwisha sasa
- † Coenocorypha sp. Norfolk Island Snipe) imekwisha sasa
- Gallinago delicata Wilson's Snipe)
- Gallinago hardwickii Latham's Snipe)
- Gallinago imperialis Imperial Snipe)
- Gallinago jamesoni Andean Snipe)
- Gallinago megala Swinhoe's Snipe)
- Gallinago nemoricola Wood Snipe)
- Gallinago nobilis Noble Snipe)
- Gallinago paraguaiae South American Snipe)
- Gallinago solitaria Solitary Snipe)
- Gallinago stricklandii Fuegian Snipe)
- Gallinago undulata Giant Snipe)
- Scolopax bukidnonensis Bukidnon Woodcock)
- Scolopax celebensis Sulawesi Woodcock)
- Scolopax minor American Woodcock)
- Scolopax mira Amami Woodcock)
- Scolopax rochussenii Moluccan Woodcock)
- Scolopax rusticola Eurasian Woodcock)
- Scolopax saturata Dusky Woodcock)