Web Analytics Made Easy - Statcounter

See also ebooksgratis.com: no banners, no cookies, totally FREE.

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Sikonge - Wikipedia

Sikonge

Kutoka Wikipedia

Wilaya Sikonge ni moja kati ya sita Mkoa wa Tabora nchini Tanzania. Wilaya ya Sikonge imeapakana na wilaya ya Uyui upande wa kaskazini, upande wa kusini mkoa wa Mbeya, upande wa magharibi mkoa wa Rukwa , upande wa kazkazini-magharibi wilaya ya Urambo na upande wa mashariki mkoa wa Singida. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 133,388. [1].

Sikonge imegawanyika katika tarafa zifuatazo;- Chabutwa, Igigwa, Ipole, Kiloleli, Kipanga, Kipili, Kitunda, Pangale, Sikonge na Tutuo.

Sikonge kama mji umegawanyika katika sehemu kuu mbili, Misheni na Madukani. Upande wa misheni ni sehemu walipojenga Wakristo wa Morovian kanisa lao na misheni yao yaani shule, hospitali na chuo cha uuguzi. Shule yao ya sekondari iko upande wa Madukani. Hamna mgawanyiko maalumu wa Wakristo na Waislam. Ila Madukani ni sehemu wanayokaa Waarabu wengi na maduka yao na hiyo imepelekea sehemu hiyo iitwe hivyo. Upande huo pia kuna Mahakama, benki, kanisa la Wakatholiki Warumi (Roman Catholic Church) na shule ya sekondari Mbirani. Hii shule ni shule ya siku nyingi sana na enzi hizo ilikuwa ikiitwa Middle School na hivyo wasomi wengi kutoka Sikonge utakuta walisoma hapa. Baadaye ilitaifishwa na kuwa shule ya msingi na si miaka mingi sana ilirudishwa kwa Wamoravian na wakaifanya kuwa shule ya Sekondari. Serikali ilijenga shule nyingine mpya na shule hiyo ikachukua jina hilo hilo na Mbirani na huku sekondari ikiitwa Sikonge Secondary School.

Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Sikonge" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Sikonge kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Lugha nyingine


aa - ab - af - ak - als - am - an - ang - ar - arc - as - ast - av - ay - az - ba - bar - bat_smg - bcl - be - be_x_old - bg - bh - bi - bm - bn - bo - bpy - br - bs - bug - bxr - ca - cbk_zam - cdo - ce - ceb - ch - cho - chr - chy - co - cr - crh - cs - csb - cu - cv - cy - da - de - diq - dsb - dv - dz - ee - el - eml - en - eo - es - et - eu - ext - fa - ff - fi - fiu_vro - fj - fo - fr - frp - fur - fy - ga - gan - gd - gl - glk - gn - got - gu - gv - ha - hak - haw - he - hi - hif - ho - hr - hsb - ht - hu - hy - hz - ia - id - ie - ig - ii - ik - ilo - io - is - it - iu - ja - jbo - jv - ka - kaa - kab - kg - ki - kj - kk - kl - km - kn - ko - kr - ks - ksh - ku - kv - kw - ky - la - lad - lb - lbe - lg - li - lij - lmo - ln - lo - lt - lv - map_bms - mdf - mg - mh - mi - mk - ml - mn - mo - mr - mt - mus - my - myv - mzn - na - nah - nap - nds - nds_nl - ne - new - ng - nl - nn - no - nov - nrm - nv - ny - oc - om - or - os - pa - pag - pam - pap - pdc - pi - pih - pl - pms - ps - pt - qu - quality - rm - rmy - rn - ro - roa_rup - roa_tara - ru - rw - sa - sah - sc - scn - sco - sd - se - sg - sh - si - simple - sk - sl - sm - sn - so - sr - srn - ss - st - stq - su - sv - sw - szl - ta - te - tet - tg - th - ti - tk - tl - tlh - tn - to - tpi - tr - ts - tt - tum - tw - ty - udm - ug - uk - ur - uz - ve - vec - vi - vls - vo - wa - war - wo - wuu - xal - xh - yi - yo - za - zea - zh - zh_classical - zh_min_nan - zh_yue - zu -