Road Town
Kutoka Wikipedia
Road Town ni mji mwenye wakazi 2,500 kwenye kisiwa cha Tortola na mji mkuu wa Visiwa vya Virgin vya Uingereza katika Bahari ya Karibi.
Mji upo kando la hori ya bahari ya Road Harbour kenye pwani la kusini ya kisiwa.
Road Town ni kitovu kimojawapo katika Bahari ya Karibi kwa ajili ya watalii wanaokodi maboti ya mapumziko.
[hariri] Viungo vya Nje
Kiing.: