Ngazija
Kutoka Wikipedia
Ngazija au Grande Comore (Kifaransa: "Komori Kuu") ni kisiwa kikubwa cha funguvisiwa ya Komori ambayo ni nchi ya visiwani katika Bahari Hindi. Ngazija ni jimbo la kujitawala lenye rais na serikali yake katika shirikisho la Komori.
Kuna takriban wakazi lakhi tatu na nusu. Mji mkuu ni Moroni ambao ni pia mji mkuu wa kitaifa.
Makala hiyo kuhusu "Ngazija" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Ngazija kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |