Mwewe
Kutoka Wikipedia
Mwewe | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mwewe domo-njano
|
||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||
|
Mwewe ni ndege mbua wa jenasi mbalimbali (angalia sanduku ya uainishaji) ya familia ya Accipitridae. Hawana sifa bainifu pamoja isipokuwa wengi wana mkia mwenye panda. Mabawa yao ni marefu na miguu yao haina nguvu kwa sababu yake ndege hawa hupuruka sana. Hukamata aina nyingi za mawindo, kama wanyama wadogo, ndege na wadudu wakubwa, lakini hula mizoga sana.
[hariri] Spishi za Afrika
- Chelictinia riocourii, Mwewe Kizelele (Scissor-tailed or African Swallow-tailed Kite)
- Elanus caeruleus, Mwewe Kipupwe (Black-winged Kite)
- Machaerhamphus alcinus, Mwewe Mlapopo (Bat Hawk)
- Milvus aegyptius, Mwewe Domo-njano (Yellow-billed Kite)
- Milvus migrans, Mwewe Domo-jeusi (Black-billed Kite)
- Milvus milvus, Mwewe Mwekundu (Red Kite)
[hariri] Spishi za mabara mengine
- Elanoides forficatus (Swallow-tailed Kite)
- Elanus axillaris (Black-shouldered Kite)
- Elanus leucurus (White-tailed Kite)
- Elanus scriptus (Letter-winged Kite)
- Gampsonyx swainsonii (Pearl Kite)
- Haliastur indus (Brahminy Kite)
- Haliastur sphenurus (Whistling Kite)
- Harpagus bidentatus (Double-toothed Kite)
- Harpagus diodon (Rufous-thighed Kite)
- Ictinia mississippiensis (Mississippi Kite)
- Ictinia plumbea (Plumbeous Kite)
- Lophoictinia isura Square-tailed Kite)
- Milvus korshun (Chinese Kite)
- Milvus lineatus (Black-eared Kite)
- Rostrhamus hamatus (Slender-billed Kite)
- Rostrhamus sociabilis (Snail Kite)