Web Analytics Made Easy - Statcounter

See also ebooksgratis.com: no banners, no cookies, totally FREE.

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Talk:Mwanzo - Wikipedia

Talk:Mwanzo

Kutoka Wikipedia

Yaliyomo

[hariri] OpenOffice

Why is the homepage promoting OpenOffice? Just curious.

[hariri] Tafsiri ya "namespaces"

The user and user talk namespaces should be translated. 66.177.138.113 21:37, 21 Oktoba 2005 (UTC)

[hariri] Makala 200?

Jamani ukurasa ulionyesha makala 199 nikaona niongeze moja tupate 200! Nikatunga "Kaisari" lakini bado 199! Namna gani? --Kipala 00:34, 28 Januari 2006 (UTC)

Sasa jumla ni 206 (Special:Statistics) au 204 (Mwanzo)! Matt Crypto 14:56, 28 Januari 2006 (UTC)
Basi tupeane hongera kidogo - bado njia ndefu lakini angalau!! Tuongee tena baada ya kumaliza 250. --Kipala 15:31, 28 Januari 2006 (UTC)

[hariri] Kundi: Sayansi + Teknolojia / Makala za Kimsingi

Sioni Falaki. Ninahisi ya kwamba badala yake "unajimu" imeingizwa kwa kuchanganya yote mawili. Falaki ni sayansi ya nyota na anga. Unajimu ni elimu isiyo ya kisanysi ya kutabiri wakati ujao (au: kudai ya kwamba mnajimu ana uwezo wa kutabiri hivyo). Kamusi kadhaa hazieleweki sana katika swali hili au zinachanganya zote mbili vilevile. --Kipala 18:38, 28 Januari 2006 (UTC)

Basi, sasa nimebadilisha "unajimu" uwe "falaki" katika ukarasa wa mwanzo. Bado watu wanaweza kuandika kuhusu unajimu, lakini wataje kwamba si sayansi. Marcos 12:28, 30 Januari 2006 (UTC)

[hariri] ni uchawi

Unajimu mi nina uhusisha na uchawi wala si sayansi

Uchawi ni kipaji au upendeleo

Azizi

[hariri] Kiswahili cha Microsoft

Wapendwa kampuni ya Bwana Billy yaani "Kalaini-kadogo" wamejitahidi kutoa MS-Windows pia Word kwa Kiswahili. Mimi mwenyewe sijawahi kuiona lakini nimekuta ukurasa ufuatao:

Microsoft Community Glossary for Kiswahili (unajiandikisha kwa jina lolote, anwani barua pepe, neno la siri utakavyo) http://members.microsoft.com/wincg/home.aspx?langid=1089

Wametunga orodha ya maneno yanayohusu mambo ya kompyuta n.k. waliohitaji kutafsiri menyu. Orodha hii ina maneno mengi kushinda kila orodha niliyowahi kuona (kwa mfano http://www.kilinux.udsm.ac.tz/kiblog/sw_TZ_glossary_klnX_1.html), tena maneno tofauti. Kwa mfano: si tena "kompyuta" au "tarakilishi" lakini: "ngamizi".

my e key fell off

Ninajua orodha mbili ya maneno ya kompyuta:
* http://www.kilinux.udsm.ac.tz/kiblog/sw_TZ_glossary_klnX_1.html ni ya The Open Swahili Localization Project (Linux na Open Office) ina maneno kama 700, walikuwa kazini ya kumaliza orodha ya maneno 1500 (sijui wamefika wapi)
* http://members.microsoft.com/wincg/home.aspx?langid=1089 ni ile ya Microsoft, ina maneno karibu 3000. Ninaelewa kazi imemalizika mwaka 2004, kwa hiyo kompyuta ya microsoft itabaki ngamizi (yangu inaitwa ki-Linux "kompyuta" hata nikiwa na Windows!).
* sijafanya utafiti kubwa sana lakini naona tofauti. Hapa ni wazo langu tusijali sana yale tunayopendelea lakini tufuate matumizi ya hali halisi. Lakini kwa kikundi kidogo jinsi tulivyo si rahisi hasa kwa sababu wengi wetu wako nje ya Afrika. Je, shule zimeanza kutumia Open Office kwa Kiswahili?? Au ofisi zimeanza kutumia Windows kwa Kiswahili??
* Mimi naona vema kama wote wetu wanaoandika makala kuhusu habari za kompyuta zinajipatia orodha zote mbili. Halafu tuandike lakini tutumie #REDIRECT ili tuningize maneno ya orodha zote mbili pamoja na yale tunayozoea au kuona katika chat, blogu n.k. kama kawaida.
* Maarifa kidogo: nimehifadhi (sw-Linux) au nimeakibisha (sw-microsoft) orodha hizi mara mbili katika Excel: nilivyopakua (sw-linux+ms!) zilikuwa katika utaratibu wa ABC ya Kiingereza; halafu nakala ya pili nilipanga katika utaratibu wa ABC-ya Kiswahili. Imenisaidia kutafuta maneno haraka...
  • Kwa jumla tusishangae kama kila "kawaida" itabadilika haraka -hivyo ndivyo Kiswahili cha kisasa. --Kipala 19:39, 16 May 2006 (UTC)

[hariri] Open Directory Project

If anyone is interested in editing a subcategory in the Kiswahili category: http://dmoz.org/World/Kiswahili/ please apply by clicking on 'become an editor' in the subcategory of choice and following the instructions. :-)

[hariri] Maana ya makala hii

Jamani, kuna mwenye kuelewa maana ya makala hii? Nimeisoma nikashindwa kuielewa: http://sw.wikipedia.org/wiki/Semsem_Barabara -- --Ndesanjo

Nimenakili ujumbe huu Wikipedia:Makala kwa ufutaji. Matt Crypto 22:36, 1 Februari 2007 (UTC)

[hariri] Tumerudi kwa Kiingereza?

Nimeshangaa kuona kwamba upande wa kushoto tumerudi kwa Kiingereza. Badala ya "Mwanzo" unaweza kubonyeza "Main Page" tu n.k. - bahati mbaya sielewi jinsi ya kurudisha vichwa vya Kiswahili. Naomba virudishwe lakini. Asante! --Oliver Stegen 18:51, 6 Septemba 2006 (UTC)

[hariri] Kosa la kuandika neno la "kuhariri"

Kila unapohariri makala yoyote, kichwa chake kinasema "KuhaHiri ..." badala ya "KuhaRiri ...". Naomba irekebishwe. (Samahani, sijui jinsi ya kuirekebisha mimi mwenyewe, ama ningaliifanya.) --Oliver Stegen 21:14, 13 Septemba 2006 (UTC)

Nimeirekibisha. Jedwali ya "interface messages" iko Special:Allmessages. Matt Crypto 17:16, 1 Februari 2007 (UTC)

[hariri] Kiswahili Kitumike

Inatakiwa tuzidi kutumia kiswahili katika kuimarisha maendeleo ya jamii yetu. Lakini ni lazima tuwe makini mara tunapoifahamisha jamii yetu kwa namna ya lugha itumikayo Mbwana Rajabu


[hariri] Makala maalumu

Nadhani tumefikia kiwango cha makala ya kutosha ili tubadilishebadilishe uso wa ukurasa wetu wa kwanza mara kwa mara. Nimeanza sasa. Wengine wanaojiamini wakiwa na uhakika hawataharibu kitu wachangie pia! Kimsingi ni swali la

  • 1 kuteua makala na kubadilisha jina la makala maalumu katika mabano
  • 2 kuteua picha nzuri na kuiweka badala ya picha iliyopo (angalia ukubwa! - iliyopo ya Kenya ni 200px)
  • 3 kuteua mistari michache ya mwanzo na kuipakia.

--Kipala 17:33, 20 Desemba 2006 (UTC)

Kweli. Lakini tushajizoesha mpaka uje wewe!! Nitajaribu kama nitaweza. Kuna makala nyingi za msingi, ambazo zinafaa kuwekwa usoni. Labda tutafanya mabadilisho mawili matatu....--Mwanaharakati (talk) 15:11, 2 Februari 2008 (UTC)

[hariri] Wikipedia:Jamii

Newcomers: a cool project to consider is at Wikipedia:Jamii.

Also: an update to the main page would be a good idea, even just linking the new geo and date pages. Sj 16:37, 1 Februari 2007 (UTC)

[hariri] Hello

I am from the Afrikaans Wikipedia. Can an administrator at this Wikipedia please protect the home page? 41.243.3.60 18:26, 9 Agosti 2007 (UTC)

Jamaa, aliomba tuikinge kurasa ya mwanzo, nikaona wazo lake niz uri tu la kulinda kurasa ya mwazo...

[hariri] Lugha zenye makala zaidi ya 100,000:

In russian Wikipedia there are already more than 280000 articles. Is it worth adding it in this list?

Done. Welcome again!--Mwanaharakati (majadiliano) 14:15, 16 Juni 2008 (UTC)


aa - ab - af - ak - als - am - an - ang - ar - arc - as - ast - av - ay - az - ba - bar - bat_smg - bcl - be - be_x_old - bg - bh - bi - bm - bn - bo - bpy - br - bs - bug - bxr - ca - cbk_zam - cdo - ce - ceb - ch - cho - chr - chy - co - cr - crh - cs - csb - cu - cv - cy - da - de - diq - dsb - dv - dz - ee - el - eml - en - eo - es - et - eu - ext - fa - ff - fi - fiu_vro - fj - fo - fr - frp - fur - fy - ga - gan - gd - gl - glk - gn - got - gu - gv - ha - hak - haw - he - hi - hif - ho - hr - hsb - ht - hu - hy - hz - ia - id - ie - ig - ii - ik - ilo - io - is - it - iu - ja - jbo - jv - ka - kaa - kab - kg - ki - kj - kk - kl - km - kn - ko - kr - ks - ksh - ku - kv - kw - ky - la - lad - lb - lbe - lg - li - lij - lmo - ln - lo - lt - lv - map_bms - mdf - mg - mh - mi - mk - ml - mn - mo - mr - mt - mus - my - myv - mzn - na - nah - nap - nds - nds_nl - ne - new - ng - nl - nn - no - nov - nrm - nv - ny - oc - om - or - os - pa - pag - pam - pap - pdc - pi - pih - pl - pms - ps - pt - qu - quality - rm - rmy - rn - ro - roa_rup - roa_tara - ru - rw - sa - sah - sc - scn - sco - sd - se - sg - sh - si - simple - sk - sl - sm - sn - so - sr - srn - ss - st - stq - su - sv - sw - szl - ta - te - tet - tg - th - ti - tk - tl - tlh - tn - to - tpi - tr - ts - tt - tum - tw - ty - udm - ug - uk - ur - uz - ve - vec - vi - vls - vo - wa - war - wo - wuu - xal - xh - yi - yo - za - zea - zh - zh_classical - zh_min_nan - zh_yue - zu -