Muleba
Kutoka Wikipedia
Wilaya ya Muleba ni wilaya moja ya Mkoa wa Kagera. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 386,328 [1].
Makala hiyo kuhusu "Muleba" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Muleba kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |