Mlinzi (ndege)
Kutoka Wikipedia
Mlinzi | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mlinzi mkia-bakari
|
||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||
|
Walinzi ni ndege wa bahari wa familia Procellariidae. Spishi za jenasi Macronectes huitwa Kwazi-bahari pia. Walinzi wanafanana na albatrosi. Kwa hivyo rangi zao zinatofautiana kutoka nyeupe kabisa kupitia nyeupe na kijivu au kahawia mpaka mwili wote mweusi. Wana domo kubwa na ncha yenye umbo la kulabu, lakini mirija miwili ya pua iungana juu ya domo; ile ya albatrosi haiungani.
Kama albatrosi, walinzi huenda mbali sana wakipuruka na spishi nyingi zinaweza kuzunguka dunia. Hawapigi mabawa sana baada ya kuruka angani, lakini wananyiririka kwa mabawa yaliyonyooshwa. Huwakamata ngisi, samaki na gegereka na hula takataka ya uvuvi na mizoga pia. Spishi za Puffinus na Calonectris huzamia kuyakamata mawindo na wanaweza kufika zaidi ya mita 50 chini ya maji. Spishi nyingine huyakamata mawindo kijuujuu. Spishi kadha za Pachyptila huchuja maji kwa domo pana lao ili kupata zooplanktoni.
Kwa kawaida malinzi huyatengeneza matago yao kwa visiwa vya mbali visipokaa watu wala mamalia wengine. Spishi nyingi huyatembelea makoloni yao usiku kuzuia shakwe-waporaji. Jike hulitaga yai moja tu kwa kawaida ndani ya kishimo.
[hariri] Spishi za Afrika
- Bulweria bifax, Mlinzi Mdogo wa St Helena (Small St Helena Petrel) imekwisha sasa (karne ya 16)
- Bulweria bulwerii, Mlinzi wa Bulwer (Bulwer’s Petrel)
- Bulweria fallax, Mlinzi wa Jouanin (Jouanin’s Petrel)
- Calonectris diomedea, Mlinzi wa Cory (Cory’s Shearwater)
- Calonectris edwardsii, Mlinzi wa Kaboverde (Cape Verde Shearwater)
- Daption capense, Mlinzi Kichwa-cheusi (Cape Petrel)
- Fulmarus glacialoides, Mlinzi??? (Southern Fulmar)
- Halobaena caerulea, Mlinzi Buluu (Blue Petrel)
- Lugensa (=Aphrodroma) brevirostris, Mlinzi wa Kerguelen (Kerguelen Petrel)
- Macronectes giganteus, Mlinzi Mkuu au Kwazi-bahari Kusi (Southern Giant Petrel)
- Macronectes halli, Mlinzi wa Hall au Kwazi-bahari Kaskazi (Northern Giant Petrel)
- Pachyptila belcheri, Mlinzi Domo-jembamba (Slender-billed Prion)
- Pachyptila desolata, Mlinzi wa Kisiwa Desolation (Antarctic Prion)
- Pachyptila turtur, Mlinzi Hua (Fairy Prion)
- Pachyptila vittata, Mlinzi Domo-pana (Broad-billed Prion)
- Pagodroma nivea, Mlinzi Mweupe (Snow Petrel)
- Procellaria aequinoctialis, Mlinzi Kidevu-cheupe (White-chinned Petrel)
- Procellaria cinerea, Mlinzi Kijivu (Grey Petrel)
- Pterodroma aterrima, Mlinzi wa Reunion (Mascarene Petrel)
- Pterodroma baraui, Mlinzi wa Barau (Barau’s Petrel)
- Pterodroma feae, Mlinzi wa Kaboverde (Fea’s Petrel)
- Pterodroma incerta, Mlinzi wa Schlegel (Atlantic Petrel)
- Pterodroma lessonii, Mlinzi Kichwa-cheupe (White-headed Petrel)
- Pterodroma macroptera, Mlinzi Uso-kijivu (Great-winged Petrel)
- Pterodroma madeira, Mlinzi wa Madeira (Zino’s Petrel)
- Pterodroma mollis, Mlinzi Manyoya-mororo (Soft-plumaged Petrel)
- Pterodroma rupinarum, Mlinzi Mkubwa wa St Helena (St Helena Petrel) imekwisha sasa (karne ya 20)
- Puffinus assimilis, Mlinzi Mdogo (Little Shearwater)
- Puffinus carneipes, Mlinzi Miguu-rangipinki (Flesh-footed Shearwater)
- Puffinus gravis, Mlinzi Mkubwa (Great Shearwater)
- Puffinus griseus, Mlinzi Kijivucheusi (Sooty Shearwater)
- Puffinus lherminieri, Mlinzi wa Audubon (Audubon’s Shearwater)
- Puffinus mauretanicus, Mlinzi wa Baleari (Balearic Shearwater)
- Puffinus pacificus, Mlinzi Mkia-kabari (Wedge-tailed Shearwater)
- Puffinus puffinus, Mlinzi Mwingereza (Manx Shearwater)
- Puffinus yelkouan, Mlinzi wa Yelkouan (Yelkouan Shearwater)
- Thalassoica antarctica, Mlinzi wa Antakitiki (Antarctic Petrel)
[hariri] Spishi za mabara mengine
- Calonectris leucomelas (Streaked Shearwater)
- Fulmarus glacialis (Northern Fulmar)
- Pachyptila crassirostris (Fulmar Prion)
- Pachyptila salvini (Salvin’s Prion)
- Procellaria conspicillata (Spectacled Petrel)
- Procellaria parkinsoni (Black Petrel)
- Procellaria westlandica (Westland Petrel)
- Pseudobulweria becki (Beck's Petrel)
- Pseudobulweria macgillivrayi (Fiji Petrel)
- Pseudobulweria rostrata (Tahiti Petrel)
- Pterodroma alba (Phoenix Petrel)
- Pterodroma arminjoniana (Herald Petrel)
- Pterodroma atrata (Henderson Petrel)
- Pterodroma axillaris (Chatham Petrel)
- Pterodroma brevipes (Collared Petrel)
- Pterodroma cahow (Bermuda Petrel)
- Pterodroma caribbaea (Jamaica Petrel) labda imekwisha sasa
- Pterodroma cervicalis (White-necked Petrel)
- Pterodorma cookii (Cook's Petrel)
- Pterodorma defilippiana (De Filippi’s Petrel)
- Pterodroma externa (Juan Fernandez Petrel)
- Pterodroma hasitata (Black-capped Petrel)
- Pterodroma hypoleuca (Bonin Petrel)
- Pterodroma inexpectata (Mottled Petrel)
- Pterodroma leucoptera (Gould's Petrel)
- Pterodroma cf. leucoptera (Mangareva Petrel) labda imekwisha sasa
- Pterodroma longirostris (Stejneger's Petrel)
- Pterodorma magentae (Magenta Petrel)
- Pterodroma neglecta (Kermadec Petrel)
- Pterodroma nigripennis (Black-winged Petrel)
- Pterodroma occulta (Falla's Petrel)
- Pterodroma phaeopygia (Galapagos Petrel)
- Pterodroma pycrofti (Pycroft's Petrel)
- Pterodroma sandwichensis (Hawaiian Petrel)
- Pterodroma solandri (Providence Petrel)
- Pterodroma ultima (Murphy's Petrel)
- Puffinus auricularis (Townsend's Shearwater)
- Puffinus bulleri (Buller's Shearwater)
- Puffinus creatopus (Pink-footed shearwater)
- Puffinus gavia (Fluttering Shearwater)
- Puffinus heinrothi (Heinroth's Shearwater)
- Puffinus huttoni (Hutton's Shearwater)
- Puffinus nativitatis Christmas Shearwater
- Puffinus newelli (Hawaiian Shearwater)
- Puffinus opisthomelas (Black-vented Shearwater)
- Puffinus parvus (Bermuda Shearwater) imekwisha sasa (karne ya 16)
- Puffinus subalaris (Galápagos Shearwater)
- Puffinus tenuirostris (Short-tailed Shearwater)