User:MapMaster
Kutoka Wikipedia
Kazi yangu kwenye wikipedia ni kutunga na kuchora ramani. Ikiwezekana napenda kuwasaidia waandishi wa makala wanaohitaji ramani kwa mradi wao.
Tafadhali usiandike hapa bali unaweza kuniachia ujumbe kwa lugha ya Kiingereza Majadiliano yangu - Commons .